MUDA UMEFIKA WAKUPANUA BIASHARA TANZANIA Kampuni ya Business Connexion yahamasisha kuhusu fursa zilizopo DAR ES SALAAM, Tanzania, July 28, 2015/African Press Organization (APO)/ — Tanzania ina fursa nyingi ambazo bado hazijatumika. Kwa mujibu wa Benki ya Dunia, uchumi unategemewa kukua kwa wastani wa asilimia7.2 mwaka huu na uwekezaji wa serikali kwa kiasi kikubwa katika mkongo […]http://feedproxy.google.com/~r/Appa-sourceTheAfric...
|